ummy mwalimu/tamisemi leo.


Leo ziara Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, Katavi kusikiliza na kutatua kero za wananchi hususan kuhusu ElimuMsingi na Sekondari, Huduma za AfyaMsingi na Barabara Vijijini. Ndugu zangu wa Santa Maria, Kasekese, Katuma na Majalila tumewasikia @KaziIendelee Tamisemi Ya Wananchi.

Post a Comment

Previous Post Next Post